Sunday, 25 March 2012

Nawatakia J'Pili Njema Woote!!Burudani-AIC Chang'ombe Vijana Choir - Hakuna

Nawatakiaeni J'pili njema yenye kheri,Baraka,Upendo na Utu wema.
Neno la Leo;Zaburi ya 121:1-8.Nitayainua Macho yangu niitazame Milima,Msaada wangu Utatoka Wapi?Endelea.
Nijambo Gani linalomshinda MUNGU BABA?.

3 comments:

  1. Sijui kwanini video hii yanigomea.

    Hata hivyo, Asante sana "Mwana-kwitu"

    Nawe, pia, J'pili NJEMA KABISA!!!

    ReplyDelete
  2. Jumapili njema pia jioni njema kwako pia na famailia..au tusema kwa yeyete atakayesoma hapa.

    ReplyDelete
  3. Mimi nakutakia jumatatu njema mwanakwetu.

    ReplyDelete