Thursday, 9 February 2012

Watoto wa Shule na Walimu Wao!!!!

Jee tutafika?Walimu Moto wanafunzi Moto Serikali Moto!!nani ni nani?

2 comments:

  1. Kwa kweli inabidi tuawaambie watoto wetu hizi simu sio ndio iwe kila wakati na simu hata kumsikiliza mwalimu hakuna..Watoto hawasomi miaka hii ...ila si wote.

    Ni kweli kama mwalimu hana elimu atafundishaje?

    ReplyDelete
  2. Kabisa da'Yasinta,kila kitu kikizidi ni tabu!!!

    ReplyDelete