(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Rechal hakika wewe kwa uchokozi nakuamini..Mimi sijapitia si unajua nlitaka kuwa sista mwenzio:-) Mziki huu kama kweli una umpendaye halafu hamuwezi kuwa pamoja inauma kweli....
Rechal hakika wewe kwa uchokozi nakuamini..Mimi sijapitia si unajua nlitaka kuwa sista mwenzio:-) Mziki huu kama kweli una umpendaye halafu hamuwezi kuwa pamoja inauma kweli....
ReplyDeleteHaa! Yasinta kumbe ulitaka kuwa sista? Sasa ikawaje hebu tupe habari kidogo...teh..teh..teh!
ReplyDeleteNami nimefungua masikio kusubiri jibu,kutokana na swali la da'Mija.
ReplyDelete