Sunday, 5 February 2012

Nawatakia J'Pili Njema na Burudani-YUMWEMA ANGEL CHOIR

Hali ya Hewa baadhi ya Sehemu iko hivi,Isiwe sababu ya kutokwenda  kwenye Nyumba za ibada Wapendwa,Mungu awabariki sana, na Muwe na J'Pili njema yenye Baraka,Amani na Upendo. Mungu yu Mwema Maishani mwetu,wenyekuamini hivyo na Tuseme AMINA!!

6 comments:

  1. Waliotabiri mwaka huu hakuna snow walikosea sana..

    Namuona kaka Aizaki akijishauri gia gani atumie leo kuikabili barafu..

    Kila la heri wajameni..

    ReplyDelete
  2. kwa kweli mwaka huu tutakoma. Amina.

    ReplyDelete
  3. Daah hiyo hali ya hewa inatutesa wengi mweeeh

    ReplyDelete
  4. Poleni na baridi huku ni kinyume chake maana bingo ni joto kwa kwenda mbele, tutawatumia kidogo kwenye barua pepe! Poleni sana, maana baridi si mchezo!

    Ingelikuwa ni huku , tungesema ni kipindi cha kupanda mbegu, ...lol

    ReplyDelete
  5. Ahsanteni sana Wapendwa,yaani utabiri wa mwanadamu ni mwanadamu tuu,@Ndugu wa mimi emu wa three utakuwa umetusaidia sana@Da'Mija kaka Isaac alikuwa ananipeleka mimi karibu nae alale hukohko kwani snow ilimzidia.Da'Yasinta na da'Edna chamoto tutakiona!!

    ReplyDelete