Saturday, 4 February 2012

Umepitia Mchezo huu? Pata na Burudani,Shingo La Upanga -Jamhuri Jazz Band

3 comments:

  1. Rechal hakika wewe kwa uchokozi nakuamini..Mimi sijapitia si unajua nlitaka kuwa sista mwenzio:-) Mziki huu kama kweli una umpendaye halafu hamuwezi kuwa pamoja inauma kweli....

    ReplyDelete
  2. Haa! Yasinta kumbe ulitaka kuwa sista? Sasa ikawaje hebu tupe habari kidogo...teh..teh..teh!

    ReplyDelete
  3. Nami nimefungua masikio kusubiri jibu,kutokana na swali la da'Mija.

    ReplyDelete