(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Kudadadeki wanakatika utafikiri muziki wa kidunia. mdundo mzurisana ,pamoja namuziki kwa ujumla. asante kwa kutupa kibao hiki. haya wote j,pili njema kaka s
Jumapili njema nawe pia hicho kibao hakika haiwezekani kuacha kuungana nao hata kama unaumwa....
ReplyDeleteHahahhaah,hiki kibao/Muziki utapona tuu ndugu wa mimi,kama nakuona vileee!Burudika mwanakwetu...
ReplyDeleteKudadadeki wanakatika utafikiri muziki wa kidunia. mdundo mzurisana ,pamoja namuziki kwa ujumla.
ReplyDeleteasante kwa kutupa kibao hiki. haya wote j,pili njema
kaka s
Ubarikiwe sana kaka wa mimi Sam,Sebene umeliona eehhh!!
ReplyDeleteMweeeh nimechelewa kukutakia jpili njema.Siyo mbaya wacha nikutakia jtatu njema mwanakwetu.
ReplyDeleteAhsante sana mwanakwetu da'Edna, hakuna kuchelewa dadake,Mungu akubariki sana!
ReplyDeleteAmen,nawe pia ubarikiwe mara dufu mdada.
ReplyDelete