Sunday, 8 January 2012

Nawatakia J'pili Njema,Pata kibao-Tazama Nimesimama By Elisha Muliri!!!

7 comments:

  1. Jumapili njema nawe pia hicho kibao hakika haiwezekani kuacha kuungana nao hata kama unaumwa....

    ReplyDelete
  2. Hahahhaah,hiki kibao/Muziki utapona tuu ndugu wa mimi,kama nakuona vileee!Burudika mwanakwetu...

    ReplyDelete
  3. Kudadadeki wanakatika utafikiri muziki wa kidunia. mdundo mzurisana ,pamoja namuziki kwa ujumla.
    asante kwa kutupa kibao hiki. haya wote j,pili njema
    kaka s

    ReplyDelete
  4. Ubarikiwe sana kaka wa mimi Sam,Sebene umeliona eehhh!!

    ReplyDelete
  5. Mweeeh nimechelewa kukutakia jpili njema.Siyo mbaya wacha nikutakia jtatu njema mwanakwetu.

    ReplyDelete
  6. Ahsante sana mwanakwetu da'Edna, hakuna kuchelewa dadake,Mungu akubariki sana!

    ReplyDelete
  7. Amen,nawe pia ubarikiwe mara dufu mdada.

    ReplyDelete