Monday, 30 January 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Mana Turagusasiye,Ndugu zangu wa Kigoma Mpoo?

8 comments:

  1. Raha ya mziki hata kama huelewi wanasema nini lakini utamu wake ni mzuri sana ingo ingo....

    ReplyDelete
  2. Umeona eeh dada Yasinta, kama unapenda mziki wewe unacheza tuu!

    ReplyDelete
  3. wacha weee,ngoja na mimi niaze kudua.Da Yasinta na Da Rachael mniimbie..sapula mduru na mapiripiri.

    ReplyDelete
  4. hahahahhaah dadake Ednaaa, kaulanzi kidogo alafu kanyaga chini kanyaga,kanyaga chini kanyagaaaaaaaa!!!!

    ReplyDelete
  5. Pamoja waungwanaaaa!!' kaka Chib umepoea sana,unatunyima nini huko?

    ReplyDelete