Saturday, 19 November 2011

Nawatakia Weekend Njema,NASEMA AHSANTE na Sarah Kiarie,Burudika!!

6 comments:

  1. ahsante sana Rachel kama wimbo usemavyo. Nami nakutakia nawe pia wikiend njema pamoja na familia na kila atayepita swahili na waswahili:-)

    ReplyDelete
  2. Yasinta nimeipenda hiyo, nami naomba niiige tena si leo tu bali kila siku..

    Nawatakieni kila la heri na wikiendi njema kwa kila atakayepitia blogu hii..

    Rachel kawimbo kananikunaga sana haka. Eti huyu Sara ni Mkenya au MTZ?

    ReplyDelete
  3. Na wewe pia wikiendi njema ndugu yangu

    ReplyDelete
  4. Asanteni sana nanyi Wapendwa!
    @da'Mija wimbo mzuri,huyu ni Mkenya dadake!!

    ReplyDelete
  5. Mija wala usijali we karibu tu nafurahi kama umeupenda huo msemo:-)

    ReplyDelete