Thursday, 13 October 2011

Mazishi ya Mpendwa Wetu; Baba Mzee Juma Penza, katika Picha

                       Marehemu Mzee Penza wakati wa Uhai wake.
     Kaka Mashaka akiweka Mchanga wa Mwisho.
       Kaka Mustapha akiweka Mchanga wa Mwisho.
               Kaka Iddy akiweka Mchanga wa Mwisho.
                   Rais Jakaya Kikwete akiweka Mchanga wa Mwisho.
               Mzee Janguo akiweka Mchangawa Mwisho.
             Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, akiweka Mchanga wa Mwisho.
       Wajukuu nao hawakuwa nyuma kufanikisha Mazishi ya babu yao.


Shukrani kwa Wote Mliofanikisha Mazishi ya Mpendwa baba Yetu Mzee Juma Penza[JP].
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI;AMINA.


Rachel-siwa[Mwanapenza]na Timu Yote ya SwahilinaWaswahili;MAJONZINI.




picha kwa hisani ya Michuzi blog,Asante sana.

6 comments:

  1. Poleni sana kwa msiba. Tupo pamoja katika majonzi na maombolezo.

    ReplyDelete
  2. Bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..

    Poleni wapendwa, tuko pamoja..

    ReplyDelete
  3. Nje ya mada ..naona umefanya mabadiliko..nikadhani nimepotea kumbe ..Nice..

    ReplyDelete
  4. Asanteni sana Wapendwa,da'yasinta kwikwikwi asante kwa kunifariji na vituko vyako.

    ReplyDelete
  5. Poleni sana. R.I.P. Mzee Penza

    ReplyDelete