Marehemu Mzee Penza wakati wa Uhai wake.
Kaka Mashaka akiweka Mchanga wa Mwisho.
Kaka Mustapha akiweka Mchanga wa Mwisho.
Kaka Iddy akiweka Mchanga wa Mwisho.
Rais Jakaya Kikwete akiweka Mchanga wa Mwisho.
Mzee Janguo akiweka Mchangawa Mwisho.
Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, akiweka Mchanga wa Mwisho.
Wajukuu nao hawakuwa nyuma kufanikisha Mazishi ya babu yao.
Shukrani kwa Wote Mliofanikisha Mazishi ya Mpendwa baba Yetu Mzee Juma Penza[JP].
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI;AMINA.
Rachel-siwa[Mwanapenza]na Timu Yote ya SwahilinaWaswahili;MAJONZINI.
picha kwa hisani ya Michuzi blog,Asante sana.

Poleni sana kwa msiba. Tupo pamoja katika majonzi na maombolezo.
ReplyDeleteBwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..
ReplyDeletePoleni wapendwa, tuko pamoja..
Nje ya mada ..naona umefanya mabadiliko..nikadhani nimepotea kumbe ..Nice..
ReplyDeleteAsanteni sana Wapendwa,da'yasinta kwikwikwi asante kwa kunifariji na vituko vyako.
ReplyDeleteR.I.P Mzee Juma Penza!
ReplyDeletePoleni sana. R.I.P. Mzee Penza
ReplyDelete