Sunday, 18 September 2011

Siku kama ya Leo dada Levina Alizaliwa!!!!!!!

Leo ni Siku muhimu kwa  da'Levina Kimwaga.
Siku kama ya Leo familia ya Bibi na Bwana Kimwaga, Walipata mtoto wa kike na Wakamwita LEVINA!!!


Tunakutakia kila la kheri,Baraka na Mafanikio kila inapoitwa Leo.


Mungu awe nawe daima.
Karibuni Waungwana Tuduwage pamoja.





4 comments:

  1. Hongera kwa siku ya kuzaliwa mdada!!

    ReplyDelete
  2. Happy birthday dada Levina na hongera kwa alie pata uchungu wa kukutoa kwa siku kama ya leo....Mbarikiwe sana

    ReplyDelete