dada Arianna katika poziiii
Nina mapozi yakutosha.
Nikibeba kipochi jee?
Watoto wa leo na mapozi yao!Wapendwa hivi hawa watoto haya mapozi wanayatoa wapi?
wanayaona kwenye Tv,kwa Wazazi/walezi,kwa rafiki zao au.......
Hata wakubwa nao wana mapozi ,Wengine kunyanyua mguu juu,kushika kiuno,kuweka dole,mikono kifuani na....
zile picha zetu za Studio kushika maua,je mpendwa wewe unazo?.
Karibuni sana Waungwana!!!!!



Mmmmh!
ReplyDeleteKitururu mbona umeguna,umemuona binti wa kwenu hahaha vya kurithi.....
ReplyDeletelabda Kitururu alikuwa anashangaa mtoto kutia kipochi!
ReplyDeleteSiunajua tena mtoto wa nyoka ni nyoka na maji hufuata mkondo....!
ReplyDeleteHahahahaahaha watoto na fashion.....mimi nafikili wanachukua kwa wazazi wao hasa kama mama anapenda kuangalia fashion shoo za ma model au magazines na mtoto nae anaona. Mungu bariki watoto wetu na wazazi wao.
ReplyDeleteMpendwa...