Thursday, 7 July 2011

Baba wa Blogger Evarist Chahali Apata Ajali Mbaya!!!!

Mzee Philemon Chahali,Amepeta Ajali mbaya asubuhi ya leo huko Ifakara Tanzania.
Tuungane pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake Mzee wetu Chahali na familia yote ya Chahali kwa Maombi,Sala/Dua.

Kaka Chahali pole sana  Mungu akupe nguvu na Tupo pamoja nawe.

Kwamaelezo zaidi unaweza kuyapata.  http://www.chahali.com [Kulikoni Ughaibuni].

2 comments:

  1. Mzee Chahali na upone upesi !
    Ndio sala yangu!

    ReplyDelete
  2. Maombi yananguvu zake daima; na kwa yote tumshukuru Mungu tu!

    ReplyDelete