Friday, 13 May 2011

Kutokana na Tatizo la kublog, Sabrina atafuta Njia!!!!

Tangu jana kulikuwa na tatizo la kublog,,Mtoto Sabrina akaona ngoja ajaribu kutengeneza!!!!!Alifikiri Tatizo lipo kwa Shangazi yake tuu.Wapenzi wa SwahilinaWaswahili poleni kwa Usumbufu wowote uliojitokeza sasa tunaendelea kama kawaida.

4 comments:

  1. lakini si ni yeye ndie aliturudisha hewani au??? Mpe sifa zake na wiki endi njema dadaangu...!!!

    ReplyDelete
  2. mmmhhhhhh!!!!!! hongera binti

    ReplyDelete
  3. Asanteni wapendwa!!!@kaka Mrope zimefika kwikwiwkiw ni yeye ndiyo amerudisha!!!!!!!

    ReplyDelete