(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Tangu jana kulikuwa na tatizo la kublog,,Mtoto Sabrina akaona ngoja ajaribu kutengeneza!!!!!Alifikiri Tatizo lipo kwa Shangazi yake tuu.Wapenzi wa SwahilinaWaswahili poleni kwa Usumbufu wowote uliojitokeza sasa tunaendelea kama kawaida.
Thanks, Engineer Sabrina!
ReplyDeletelakini si ni yeye ndie aliturudisha hewani au??? Mpe sifa zake na wiki endi njema dadaangu...!!!
ReplyDeletemmmhhhhhh!!!!!! hongera binti
ReplyDeleteAsanteni wapendwa!!!@kaka Mrope zimefika kwikwiwkiw ni yeye ndiyo amerudisha!!!!!!!
ReplyDelete