Monday, 18 April 2011

Mziki unapokolea!!!!!!

Wapenzi  wa  Muziki umekolea. Wanaamua kutunza chochote!Ghafla unatunzwa Bastola je kama wewe utapokea au utakimbia?.Kivumbi na Jasho!!!!!!!!Karibuni Wote.

3 comments:

  1. Kama ni mimi nitaipokea, maana ukimuachia, yaelekea ze kick ipo kichwani anaweza kujifurahisha kwa kukutungua!!

    ReplyDelete
  2. Daaaaah, mimi na muziki ungeishia hapo hapo, si mbio hizo mwanangu..

    ReplyDelete
  3. @kaka Chib ze kick na ze bangi ikichanganya hapo hapatoshi!

    @da Mija kwikwikwi unaweza kula mweleka wangu!

    Duh mimi naona nitadondoka tuu maana nitaishiwa nguvu!!!

    Nawewe je?

    ReplyDelete