Thursday, 3 March 2011

Mtoto wetu leo ni Naomi Nyembo!!!!!Mswahili anayeishi Holland!!!!!!!!


Naomi ni mtoto mcheshi na mdadisi mwenye vituko vingi sana , Anayependa shule, picha,kula,kupendeza wakati  wowote na  kupati!!.Je wapendwa matendo ya watoto wetu ni urithi kutoka kwetu,Au ni matokeo ya utandawazi? Nasubiri  maoni yako/yenu ili tuelimishane zaidi,Karibuni  wapendwa!!!!!!!!.

10 comments:

  1. Hii kali!! Rachel umemjulia wapi huyu mtoto????

    Samahani kwa kutoka nje ya mada.. walahi sikutegemea..

    ReplyDelete
  2. hahahah da Mija huyu mwanangu mtoto wa mdogo wangu kabisa!!!!!!!je nawe unamjua/umemjulia wapi?

    ReplyDelete
  3. Ndiyo @da Mija mnajuana?hapo sasa je mambo ya watoto ni yakurithi au utandawazi?unaweza kutuchambua vyema maana wewe unatujua vyema!

    @kaka Kitururu asante!!

    ReplyDelete
  4. Ndio taifa la leo hilo, lakini ndio maendeleo!

    ReplyDelete
  5. kwa kiasi kikubwa ni kurithi... na suala la kupendeza wakati wote kwa Naomi nadhani karithi kwa mzazi wake mmoja, ila sina hakika kwamba yeye mwenyewe ana tabia hiyo au ni kutokana na wazazi wake wanavyomuweka..

    ReplyDelete
  6. Da Mija na mimi nina uhusiano nao wa ki-blogu. Huoni tunafanana USWAHILI?
    Hahahahaaaaaaa
    Wacha nihamie kwa Naomi
    Umependeza mwaya. Penda kuwa mwema na kusikiliza. Penda kusoma na kusomesha na PENDA KUWA NA WEMA
    Unapendwa

    ReplyDelete
  7. rabiiiiiiiiiiiiiii10 March 2011 at 00:30

    mambo mijja siku nyingi sister siwa ni sis wangu wa damu vp wtt hawajambo nimekumiss kinoma nakutakia upendo kwa watu wote mwanangu naomi uwe mtt bora ktk jamii nzima amin

    ReplyDelete
  8. Asanteni sana Mungu ambariki sana mtoto wetu akue na mafanikio mema!!!

    @kaka Mubelwa sawa kabisa sote ni ndugu!!!!!!!.

    Tuungane pamoja katika malezi ya watoto wetu!.

    karibu sana na tuendeleeeee!!!

    ReplyDelete