(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Tuesday, 5 August 2014
Hotuba Ya Mhe Rais Jakaya Kikwete Kwa WaTanzania Washington DC. Aug 2, 2014
Karibu kusikiliza hotuba ya Mhe. Dk Jakaya M Kikwete alipozungumza na waTanzania usiku wa Agosti 2, 2014 kwenye hotel ya Marriot, jijini Washington DC nchini Marekani.
Raisi ameongea mambo ya maana...kama kila raisi ana yake mabaya na mazuri
ReplyDelete