Saturday, 23 November 2013

Wa-Africa Na Mitindo Mchanganyiko!!!!!





Mhhhh..Mengi sina..ni Wa-Afrika na Mitindo...mimi naiita Mitindo TATA..
Vipi Inavalika? Si wanasema Wanawake tunavaa mavazi yanayo fanana na Yao..nawao jee?......haya na Nywele za dada kama hivyo.

Kuona Zaidi nifuate;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

  1. Yaani hsta mimi sielewi hapo..na hiyo nywele ya mdada duh...

    ReplyDelete
  2. Hahahahaah...KADALA wa mimi huelewi nini jamani?

    ReplyDelete