![]() |
| Hapa tunapokumbukia Chipsi za Nyumbani, Ma binti zangu hupenda sana Chipsi Mayai[ZEGE]Na sasa wanapika wenyewe kama unavyoona hapo juu,Nyama Choma Baba anawasaidia... |
Waungwana;Jikoni Leo Mtaani na Kwa Da'Rachel..
Vipi Chipsi Vumbi/za Mitaani Zina Raha gani? Na Karaha Gani?
Kuna mtu hajawahi kula Chipsi hizi?
Jee wewe uliyekula/Unayekula Wapi KIJIWE bomba Cha Chipsi upendacho?
Pale Dar,Ilala Kulikuwa kwa Ndago,Barafaa....
Pale Iringa,Kulikuwa kwa Baba Nusa...
Hizi ni Chache tuu nawe Waweza Kuongezea....
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.




Duh..bonge la mapishi....nimetamani hasa nyama choma...chips mayai si mupenzi....
ReplyDelete