Friday, 22 November 2013

Jikoni Leo;African Market-Nima Market in Accra, Ghana!!!!




Waungwana;Jikoni Leo, Tupo sokoni  Ghana..haya tuangalie mahitahi...
Kuna vingine wewe huviwezi kula lakini wengine wanaweza.

Nini kimekuvutia?

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

  1. Ama kweli kuna vingine wengine ni chakula na wengine hapana konokono ...mweh hapana kwa mimi...

    ReplyDelete
  2. Hahahahah...KADALA,Vipi ndiyo umeolewa na watu wa huko,Mume anataka ipikwe hapo ndani?

    ReplyDelete