Sunday, 1 September 2013

Nawatakia J'Pili njema ;Tusifu na Kuabudu-Burudani-How Great Thou Art,Great is thy Faithfulness,To GOD be the Glory!!!!!!



Wapendwa sina Maneno Mengi ni Kusifu na Kuabudu..MUNGU wetu ni Mwema Saana;[14]Zaidi ya hayo yote jivikeni Upendo,ndio kifungo cha ukamilifu.

[16]Neno la kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote,mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni;huku mkimwimbia MUNGU kwa neema mioyoni mwenu.









Neno La Leo;Wakolosai:3:12-17.Na kila mfanyalo,  kwa neno au kwa tendo,Fanyeni yote katika jina la BWANA  YESU,mkimshukuru MUNGU BABA kwa yeye.

"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

4 comments:

  1. na wewe pia na familia, nilikumisooooo kweli mwanakwetu.

    ReplyDelete
  2. Asante sana mwanankwetu..Yaaani mimi pia nimekumisooooooooooo sana tuu..

    Msalimie Shem wa mimi na kakake.

    ReplyDelete
  3. nawe pia na familia nzima mbarikiwe..

    ReplyDelete