Wapendwa;Muwena J'Pili njema yenye matumaini,baraka,Amani na Furaha.
Hatimaye,ndugu,tuombeeni Neno la BWANA Liendelee,na kutukuzwa vile vile kama ilivyo kwenu;
Neno La Leo;2Wathesalonike:3;1-18;[16]Sasa,BWANA wa Amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote.BWANA awe pamoja nanyi nyote.
"Swahili NA Waswahi"Mbarikiwe Sana.

iwe njema nawe pia kachiki wangu!
ReplyDeleteJ3 Tatu njema mpendwa, tupo pamoja
ReplyDelete