Sunday, 19 May 2013

Wapendwa tumalizie J'Pili kwa Imani na Upendo;Burudani-Bahati Bukuku,Rose Muhanndo na Kinondoni....!!










Wapendwa; Tumalize J'Pili hii kwa Imani,Ushindi na Upendo wa Kweli...
Lakini sasa,BWANA aliyekuhukumu,Ee Yakobo,yeye aliyekuumba,Ee Israel,asema hivi,Usiogope,Maana nimekukomboa;nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.
Neno La Leo;Isaya:43:1-19;Tazama nitatenda neno jipya;sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa?Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.

"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe wote.


5 comments:

  1. Ahsante kwa neno nawe ubarikiwe pia.

    ReplyDelete
  2. Ndugu wa mimi nami pia nimekumisooo mnoo..mtu wangu..Asante sana tupo pamoja kabisa...

    ReplyDelete