Wapendwa Muwe na J'Pili yenye Furaha,Amani,Upendo,Neema,Utu wema na Upole Kiasi.....
Mwanangu,kama ukiyakubali maneno yangu, Na kuyaweka akiba maagizo yangu [2]Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu;....
Neno La Leo;Mithali 2:1-11;Busara itakulinda;Ufahamu utakuhifadhi.
Nawapenda Woote.


Jumapili njema nawe pia familia...ahsabre kwa neno.
ReplyDeleteJumapili njema na kwenu pia jamani wapendwa asante kwa nyimbo nzuri nimezungukaje yaani ni zunguka zunguka upendo wa Yesu umenizunguka
ReplyDeleteubarikiwe sana mpendwa
Pamoja KADALA wa mimi...
ReplyDelete@Mpendwa Anony..kama nakuona unavyozungukazunguka...Ameen...
Kwema mwanakwetu? ila umenoga kweli kweli
ReplyDeleteSandee...Kwema mwanakwetu busy mingi tuu..ila kwa uwezo Inguluvi twajinoma tuu!!!
ReplyDeleteUmepote Segi wangu...