Wednesday, 29 May 2013

Da'Tracey-Sarah Atimiza miaka 12!!!!













































Waungwana;Da'Tracey-Sarah, Ametimiza miaka 12..
Familia ya Isaac,Tunamshukuru sana MUNGU kwa YOTE!! Tunamtakia kila lililo Jema,Maisha marefu yenye Amani,Baraka,Upendo,Shukrani ,Utu wema, Awe  Kichwa na si Mkia... Awe Baraka Kwetu na Jamii Pia.
Na Iwe kama Tulivyo NENA.

Shukrani kwa Ndugu,Jamaa,Rafiki kwa kumtakia kheri/Maombi na Kuungana nae katika Siku hii Muhimu Maishani.
MUNGU AZIDI KUTUBARIKI
AMEEN.

2 comments:

  1. Hongera ssna na mumgu akujalie kila utendsalo?

    ReplyDelete
  2. HONGERA SANA;Da'Tracey-Sarah. Ndugu wa mm tupo pamoja, hata ukipita mbali usisahau kunipungia mkono

    ReplyDelete