| Mgeni wetu alikuwa Da'Mariam Kilumanga. |
| Waandaaji wa Hii Coventry Women Gala.. ni hawa ndiyo waliotukusanya Wanawake Wenzao...Ilipendeza sana na Hongereni saana...[Da'Stellah aliyeshika kipaza sauti] |
| Da'Halima aliyeshika kipaza Sauti |
| Da'Agness aliyeshika kipaza sauti |
| Waanzilishi wa Coventry Women Gala!!!!!!!!! |
Nitakueleza siku nyingine..Endelea na Picha kwanza..........
| Mikakati hahahaa..... |
| Watu wakitangaza na Biashara zao...Wanawake Oyeeeeee!!!!!! |
| [Mi-Ra]............ Tutaendelea usicheze mbaaaali........ "Swahili NA Waswahili" Pamoja Saaaana. |
1 comment:
-:( nasikitika sikuwa ..mmependeza wote hongera sana ..hakika imependeza
Post a Comment