Wapendwa nawatakia J'Pili yenye Upendo,Amani,Kweli,Kujitolea,Wema na Shukrani. Basi Ndugu zangu,nawasihi, kwa huruma zake MUNGU,itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai,takatifu,ya kumpendeza MUNGU,ndiyo ibada yenu yenye maana.
Neno la Leo;WARUMI;12:1-21.Wala msifuatishe namna ya dunia hii;bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu,mpate kujua hakika mapenzi ya MUNGU yaliyo mema,ya kumpendeza, na ukamilifu.
"Swahili NA Waswahili" MUNGU yu mwema kwetu Soote. |
jumapili njema kwako pia na familia pia kwa kila atakayepita hapa,
ReplyDeleteNa j3 njema pia, twashukuru j2 imekwisha na leo ni J3 tumuombe mungu iwe njema
ReplyDeleteAmeeen wapendwa..Pamoja Daima!!!!
ReplyDelete