Sunday, 7 October 2012

Nawatakia J'Pili Yenye Kheri;Burudani-Nzambe Malamu"Franck Mulaja ,Solomon Mukubwa na Gael.!!

Wapendwa nawatakia J'Pili yenye Upendo,Amani,Umoja na Kweli Daima.
Lakini,kama ilivyo andikwa,Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia,[Wala hayakuingia katika Moyo wa mwanadamu;]Mambo ambayo MUNGU aliwaandali Wampendao.

Neno la leo;1 Wakorintho:2;9-16.

"Swahili NA Waswahili"
Neema ya BWANA YESU na iwe Pamoja nanyi nyote. AMINA.

2 comments:

  1. Jumapili yangu ilikuwa njema na nina imani nwe pia ulikuwa na j2 njema na kila aliyepita hapa pia.

    ReplyDelete
  2. Ilikuwa nzuri da' Yasinta asante sana ndungu yangu.

    ReplyDelete