Wapendwa nawatakia J'Pili yenye Upendo,Amani,Umoja na Kweli Daima.
Lakini,kama ilivyo andikwa,Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia,[Wala hayakuingia katika Moyo wa mwanadamu;]Mambo ambayo MUNGU aliwaandali Wampendao.
Neno la leo;1 Wakorintho:2;9-16.
"Swahili NA Waswahili"
Neema ya BWANA YESU na iwe Pamoja nanyi nyote. AMINA.
Jumapili yangu ilikuwa njema na nina imani nwe pia ulikuwa na j2 njema na kila aliyepita hapa pia.
ReplyDeleteIlikuwa nzuri da' Yasinta asante sana ndungu yangu.
ReplyDelete