Waungwana; Wanawake na mitindo,"Ya Kale ni Dhahabu" Umemuona Mrembo wa zamani?nini Unakumbuka kupitia picha hizi na nini kimekuvutia?
Huo unywele wa kwenye picha ya juu sijui aliweka dawa gani,Zazuu,Alizichoma au........
Huo Unywele wa kwenye Picha ya chini hakuna Dawa hapo.
Unalolote unaweza kuongezea katika Picha hizi? Karibu sana.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.


nikiangalia kwa makini naona kama wote walijichoma hizo nywele..halafu naona kama walitumia/weka wanja vile..ila kweli warembo wa zamani ni dhahabu...bila madawa madawa..
ReplyDeleteMadawa yalikuwepo na kulikuweko na majaribio ya kuyapiga marufuku kama ilivyo sasa. Kulikuweko na cream maarufu iliyojulikana kama AMBI. iliyokuweko ya wanaume na wanawake. Ilifikia ikapigwa marufuku na CLEARTONE ikatawala soko.
ReplyDeleteUzuri ni ule wa kuzaliwa , na urembo ni ule wa kuboresha. Tupo pamoja ndugu wa mimi
ReplyDeleteKadala wewe uliwahi kuchoma Nywele?umeona na hiyo nguo ya picha ya2 sindizo tuvaazo sasa?
ReplyDeleteNdugu wamimi Umenena!1
kaka Kitime[jfk]Asante sana kwa kutuelimisha, lakini walishindwa kabisa kuzuia cream, sasa ndiyo zimeharibu watu Ajabu.