(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Sunday, 23 September 2012
Nawatakia J'Pili yenye furaha;Burudani-Yu mwema Mungu yu mwema,karen men's Chorate na Gael!!!!
Wapendwa nawatakia J'Pili yenye furaha,Kusifu,kuabudu,kusamehe na kusahau.....Je! waweza wewe kumvua mamba kwa ndoano? Au,kuufunga ulimi wake kwa kamba? Neno La Leo;kitabu cha Ayubu;41:1-34........Yeye hutazama kila kilicho juu;Ni mfalme juu ya wote wenye Kiburi!!! "Swahili NA Waswahili"MUNGU NA ATUBARIKI SOOOTE.
Mungu yu mwema. nimeupenda sana wimbo huu,mdada anaimaba vizuri na sauti yake nzuri.nimefaidi asante sana bisikuti yangu kwa kutuwekea nyimbo hizi. kaka s.
Mungu yu mwema. nimeupenda sana wimbo huu,mdada anaimaba vizuri na sauti yake nzuri.nimefaidi asante sana bisikuti yangu kwa kutuwekea nyimbo hizi. kaka s.
ReplyDeleteBisikuti yangu nimefurahi kama umeburudika na kufaidi,Nami naupenda mnoo huu wimbo ndugu yangu!!
ReplyDeletePamoja sana kaka S. wasalimie wote huko..........