Sunday, 26 August 2012

Nawatakia J'Pili yenye baraka na Amani.Burudani- Mwamba Rock Choir!!!!


Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Baraka,Upendo,Umoja, Amani na Malezi mema.

Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse;Wanafunzi wake wakawakemea.Ila YESU alipoona alichukizwa sana,akawaambia,Waacheni Watoto wadogo waje kwangu,msiwazuie;Kwamaana Watoto kama hawa Ufalme wa MUNGU ni wao.

Neno La Leo:Marko Mtakatifu:10:13-16

"Swahili NA Waswahili" MUNGU ATUBARIKI SOTE.

2 comments:

  1. Baraka,Upendo,Umoja na Amani vitawale katika familia yako na wote wataopita katika kibaraza hiki. Upendo Daima.

    ReplyDelete
  2. Ameeen dada Kadala,Nanyi muwe na wakati mwema!!

    ReplyDelete