Monday, 6 August 2012

Jikoni leo;Somali Rice Cake (Mkate wa Maashara)na Cilantro Rice!!!!!

Waungwana "JIKONI LEO"Ngoja niwapeleke kwa jarani zetu Wasoli.
Vyakula vyao si vigeni saaana naona tunatofautiana majina na uandaaji labda.Waswahili wanasema MCHELE MMOJA..........."

Kujua Zaidi ingia.SomaliFoodBlog
Shukrani saana.
Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

  1. Tukifuturu basi, nimegee kidogo!

    ReplyDelete
  2. Ahsante Kachiki! nasi tujifunze haya mapishi ni vizuri kujua..unaweza kupata mgeni wa kisomali basi...na atashangaa...LOL

    ReplyDelete