Sunday, 8 July 2012

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani - Taunet Nelel,Hakuna Mungu kama wewe na Mapambio Meengiii!!!

Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Baraka, Amani na Upendo!!!!
Neno la Leo;Zaburi:67;1-7;
Mungu na Atufadhili na kutubariki,Na Kutuangazia uso wake.Endelea..........

2 comments:

  1. Nawe pia uwe na amani na pia upendo wa mwenyezi Mungu na utawale ndani ya nyumba yako. Furaha ijae tele. Jumapili njema Kachiki,,,,

    ReplyDelete
  2. Ameeeeeeeeeeeeeeen my dada yangu Kadala, Mungu atubari sote!!!!

    ReplyDelete