Saturday, 7 July 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Mafikizolo - ndihamba nawe na nyingine nyingiii!!!!!!

Waungwana; Leo ngoja tuwaangalie Hawa "Mafikizolo",
 Jee wewe wanakubamba/Unawapenda?
Nini zaidi kina kuvutia katika Muziki wao?.
Sina Mengi zaidi Nakusikiliza wewe.Twende sote sasa!!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.

3 comments:

  1. Pamoja sana da'Kadala, natumaini umecheza sana tuu!

    ReplyDelete
  2. yaani jasho lanitoka hapa wakati huko nje ni baridi..

    ReplyDelete