Haya Waungwana mambo ya Igatanzania hayo!!!
Niwauzaji wa T-shirt,Jezi,Kanga,Vitenge,Viatu vya shanga,Bangili,Makembe na vitu vyooote vya urembo kutoka nyumbani Tanzania.Pia ni Wapishi wa vitafunwa/Vitafunio,Vyakula vyooote ujuavyo vya kiswahili.
Pata kitu Roho inapenda na waswahili wa "Igatanzania"
Wapo Coventry u.k.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hii.07730008921.
KARIBUNI SANA WAUNGWANA.







Ahsante kwa kutokuwa mchoyo napenda watu ambao wanaushirikiano wa aina hii. ukitili chabwina sana mlongo .
ReplyDeleteSande mlongo wangu!!!!
ReplyDeleteTupo pamoja ndugu wa mimi
ReplyDeleteAsante ndugu wa mimi@Emu wa 3!!!
ReplyDelete