Friday, 15 June 2012

Jikoni Leo;Tupike Pamoja-How to cook Russian salad (In Swahili)!!!!!!!

Waungwana; "JIKONI LEO;"Ni Tupike Pamoja wametoa Mapishi mapya ya Russian Salad,kwa njia ya Video.Lugha ni Kiswahili.
 Usikose kujifunza kupitia "TUPIKE PAMOJA" Mmmmmhh Tamu Saaaana.
Kuona mengi zaidi ingia;www.tupikepamoja.com au hapo pembeni kuna nembo yao bonyeza tuu.

 Pamoja sana Waungwana. "SWAHILI na WASWAHILI"

1 comment:

  1. Ahsante kwa mapishi haya ya kirusi..nitajaribu siku yake:-)

    ReplyDelete