![]() |
| Mwenyewe da'Maidana,mamake na Taqqiyyah |
Samaki na Mazagazaga na ameungwa/tiwa Nazi
![]() |
| Kitu Samaki kimepakuliwa |
![]() |
| Samaki wa Kubanikwa |
![]() |
| Visheti,Kashata,Keki, hivyo vyenye kidoti mie naviitaga vibata, sijui vyaitwaje?Hapa bado Ufuta jamani duuhh |
![]() |
| Mikate,sijui wewe utaitaje kwani hapa kwangu kila mtu anajina lake! |
Waungwana karibuni tena "JIKONI LEO".Leo Mpishi wetu si Mwingine ni da'Maidana,Ni blogger Mwenza,Pia ni MjasiriaMali,Ukitaka kujua zaidi. Anapatikana.http://tmark-turn.blogspot.co.uk
Nimegundua Waswahili Wengi Wanapenda kupika na kujifunza Mapishi Mbalimbali.
Vipi wewe mwenzangu unapenda kupika?jee mbali na kupika Unapenda/Unaweza Kufanya nini kwa Mikono yako?
Karibuni sana Waungwana katika yoote!!!!!!
"Swahili na Waswahili" pamoja sana!!!!








shukran sana,nimefurahi
ReplyDeleteweka na recept ya mapish dear
ReplyDeleteahsante sana kwa kutuonyesha hapa mimi napenda kiduchu tu kupika nasa napenda kuwa /kushughulika na udongo yaani bustani, maua nk.
ReplyDeleteAjabu nimetoka kula, ghafla naona njaa tena.., huu msosi si mchezo.
ReplyDeleteHongera zake sana.