(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Waungwana Leo hakuna Maneno Meengii, Ni Burudani tuu!!!! Lakini hawa wengine wako wapi? je Unakumbuka chochote kuhusu Burudani ya Leo? kibao kipi? na nini kinachokukumbusha?Tujuze basi. Twende Sote sasa Safi hiyoooooo!!!!!! "Swahili na Waswahili" Pamoja sana tuu.
usilete mchezo ntakuchinja...uwiiii mpaka nimeogopa:-) jumamosi njema kachiki na kila atakayepita hapa awe na baraka pia amani.
ReplyDeleteHahahaahaa ukakimbia na viatu umesahau hapo hapo da'Kadala!!!!
ReplyDeleteAsante nanyi iwe njema na familia.