Thursday, 17 May 2012

Watoto na Vituko;Pata na Burudani!!!!!!

Waungwana Mambo hayo, sina la kusema,Zaidi unayo wewe!!!!!!
Pamoja sana sana.Swahili na Waswahili!!!!!!!!

7 comments:

  1. swahili hii ya leo kali duh!!!

    ReplyDelete
  2. Kaka Ebon`s hakika swahili na waswahili leo kaamua kutuletea kali ..Ahsante kachiki:-) maana nimeungana nao si unanijua nikisikia ngoma/mziki tu basi:-)

    ReplyDelete
  3. hahahahhaaha'"Swahili Mwenza" kaka Ebou's Mkwe huyo mimi kama Shangazi nimeshampenda.

    @Kadala hahahhahha sipati picha ulivyocheza.........

    Wako Kachiki!!!!!

    ReplyDelete
  4. mmmmhhhh ... ngoja nisitie neno maana ni mambo mazito!

    ReplyDelete
  5. Hahahaaa hiyo ni kiduku style

    ReplyDelete
  6. Sasa kaka wa mimi mbona hivyo?

    @Mtani ya Kachiki Ongea tu hahaha!!

    @Mwanakwetu umeona Kiduku ya nguvu!!

    ReplyDelete