(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Jamani tumuogopeni Mungu,tuache kupata fedhe haramu.Ona ndg zetu wanavyopotea.Tujifikilieni wote ni wazazi au walezi kwa njia moja au nyingine,tutamaliza vizazi vyetu wenyewe,Tumrudie M.Mungu
Kila mmoja wetu anapaswa kulaumiwa kwa kweli maana hili si suala la mvutaji au muuzaji pekee, tusiwaachie wahusika, sisi pia ni lazima tuwajibike kuhakikisha jambo hili linatokomea..
Kuna muuzaji, mtumiaji, lakini yupo mtengenezaji...huyu mtengenezaji, ndiye anastahili kulaumiwa, na ikiwezekana liwe janga la kidunia,maata kidogo kidogo,mwishitakuwa ni tatizo. Dunia ipige marafuku utengenezaji wa haya madawa, natumai kama `bwana'mkubwa atalisimamia kama vita vya ugaidi tunaweza tukafika mahali.
Nasema tena nitasema tena lawama ni kwa jamii yetu kwa ujumla wake. Kwa kuwa ni sisi wenyewe kwa wenyewe tunacheza huo mduara.
ReplyDeleteJamani tumuogopeni Mungu,tuache kupata fedhe haramu.Ona ndg zetu wanavyopotea.Tujifikilieni wote ni wazazi au walezi kwa njia moja au nyingine,tutamaliza vizazi vyetu wenyewe,Tumrudie M.Mungu
ReplyDeleteKila mmoja wetu anapaswa kulaumiwa kwa kweli maana hili si suala la mvutaji au muuzaji pekee, tusiwaachie wahusika, sisi pia ni lazima tuwajibike kuhakikisha jambo hili linatokomea..
ReplyDeleteAsante kwa mada mdada..
Kuna muuzaji, mtumiaji, lakini yupo mtengenezaji...huyu mtengenezaji, ndiye anastahili kulaumiwa, na ikiwezekana liwe janga la kidunia,maata kidogo kidogo,mwishitakuwa ni tatizo.
ReplyDeleteDunia ipige marafuku utengenezaji wa haya madawa, natumai kama `bwana'mkubwa atalisimamia kama vita vya ugaidi tunaweza tukafika mahali.