Sunday, 1 April 2012

Nawatakia J'Pili Njema,Burudani-AIC Chang'ombe na Bahati Bukuku,Sikiliza mwenyewe!!


Wapendwa muwe na J'Pili yenye Amani na Baraka Tele!!!!!!Neno la Leo;zaburi:12;1-8.Bwana UokoeMaana Mcha Mungu amekoma,Maana Waaminifu wametoweka katika Wanadamu.....Endelea.

6 comments:

  1. Jumapili njema nawe na familia yako....

    ReplyDelete
  2. Jumapili njema mwanakwetu, familia pamoja na chemeji yangu.

    ReplyDelete
  3. J'pili Njema Kabisa! Na mwanzo mwema kwa Wiki Mpya!

    ReplyDelete
  4. Nimebarikiwa kwa nyimbo hizi, ubarikiwe!

    ReplyDelete
  5. Ahsanteni sana Wapendwa wangu,da'Yasinta na Mwanakwetu nimefikisha ujumbe.kaka Manyanya Ameen.@da'Mary Ameen na karibu sana.

    ReplyDelete