(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Kwakweli umenikumbusha mbali sana enzi za shule ya vidudu hizo mtu wangu, take me back me colombiaaaa let me rumba kama namuona kakaangu binaam hapo enzi zake
Aisee mzeemwenzangu hizi nyimbo zimenikumbusha mbali kinoma...Big up muke ya mubena!!
ReplyDeleteYaani Mzee mwenza weacha tuu,Colombia colombia aiiiiiiiii!!!!!!Ujana maji ya moto dadake!!!!!
ReplyDeleteKwakweli umenikumbusha mbali sana enzi za shule ya vidudu hizo mtu wangu, take me back me colombiaaaa let me rumba kama namuona kakaangu binaam hapo enzi zake
ReplyDeleteHahhahaha kaka Binamu enzi hii alikuwa kiboko aliziimba sana nilikuwa natamani nilale chumbani kwao, sababu kulikuwa na Radio@ Anonymous.
ReplyDelete