Dadazzz mmependeza mnoo,Asanteni sana kwa kutuwakilisha.Siku ya Wanawake ,Wao walijumuika na wenzao kwa Shamim.Duuhh kivazi cha kanga kikitengenezwa, kinapendeza haswaaa.Wanawatakia Wanawake Woote Duniani ,Baraka, Amani,Upendo na Umoja.WANAWAKE JUU!!!



Nimependa mno safi sana na nipendavyo mavazi kama haya basi weee hakika mmependeza akina dada na ahsante kwa kutuwakilisha.
ReplyDeleteDuuh wametoka kinoma,nimependa picha yako hapo juu umetoka chicha mwanakwetu.
ReplyDeleteWamependeza sana! Na nakaudhaifu na Yvonne!:-(
ReplyDeleteAhsante wapendwa kwa niaba yao.@mwanakwetu da'Edna asante.@kaka wa mimi Kitururu hata mimi na Yvonne damdam!!!@ da Yasinta umeona kanga hizo?
ReplyDelete