Neno la leo;Matendo ya Mitume:9;36-43.Na Mwanafunzi mmoja alikuwa Yafa Jina lake Tabitha,Tafsiri yake ni Dorkasi[yaani Paa];Mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.Endelea na Uwe na wakati mwema.
Sunday, 18 March 2012
J'Pili ya leo ni Maombi kwa Wajane,Yatima , Wenye shida na Tabu; Kabula anasema Dhihirisha na Upendo anasema Hapa Nilipo!!!!!!!
Neno la leo;Matendo ya Mitume:9;36-43.Na Mwanafunzi mmoja alikuwa Yafa Jina lake Tabitha,Tafsiri yake ni Dorkasi[yaani Paa];Mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.Endelea na Uwe na wakati mwema.

Mama na mwana mmependezaaa
ReplyDeleteAsante kwa maombi!!
Ubarikiwe..
Ahsante kwa neno la leo...na sala nzuri. Akina mama oyeeeeeeeeeeeee mtuwe na siku njema..
ReplyDeleteHongera wamama wote.
ReplyDeleteWamama OYEEEEH!
ReplyDeleteKabinti kazuri haka jamani..!!
ReplyDeleteWamama juuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!
Tupo pamoja ndugu wa mimi
ReplyDeleteAhsanteni sana Waungwana,Pamoja sana!
ReplyDelete