(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Leo wanawake na Mitindo ni da'Maskat,yeye ni Desings,mimi nimevutiwa sana na kazi zake. unaweza kuangalia zaidi kazi zake kupitia http://www.zib-fashion.blogspot.com.
Dada Rachel, hatimaye, leo, nimefanikiwa kuiweka taarifa kwenye blogu yangu.
Jana nilihangaika kufanya hivyo, nikakwama, kwa sababu sikujua namna ya kuzitoa picha kwenye blogu za wengine na kuzigeuza kuwa .jpg. Leo, katika kubahatisha, nimegundua namna ya kufanya hivyo, na sasa picha inaonekana.
Poa Sana!
ReplyDeleteHONGERA! Kazi nzuri..nimependa rangi zake na pia hilo vazi na nimependa jinsi unavyoitangaza TZ yetu.
ReplyDeleteSafi kabisa ndugu wa mimi , tupo pamoja
ReplyDeleteKazi nzuri mdada hongera.
ReplyDeleteSafi sana. Ndio mambo yanayotakiwa hayo: ubunifu na utendaji makini. Kila la heri. Ngoja niende nikaiweke hii taarifa kwenye blogu yangu.
ReplyDeleteAhsanteni wapendwa,kaka Mbele itakuwa vyema.
ReplyDeleteDada Rachel, hatimaye, leo, nimefanikiwa kuiweka taarifa kwenye blogu yangu.
ReplyDeleteJana nilihangaika kufanya hivyo, nikakwama, kwa sababu sikujua namna ya kuzitoa picha kwenye blogu za wengine na kuzigeuza kuwa .jpg. Leo, katika kubahatisha, nimegundua namna ya kufanya hivyo, na sasa picha inaonekana.
Nimefurahi sana kaka Mbele kwa kufanikisha.Nimependa sana ulivyoelezea,Ubarikiwe sana.
ReplyDelete