Tuesday, 7 February 2012

Wanawake na Mitindo ni Mswahili-Maskat Designs!!!


Leo wanawake na Mitindo ni da'Maskat,yeye ni Desings,mimi nimevutiwa sana na kazi zake.
unaweza kuangalia zaidi kazi zake kupitia http://www.zib-fashion.blogspot.com.

8 comments:

  1. HONGERA! Kazi nzuri..nimependa rangi zake na pia hilo vazi na nimependa jinsi unavyoitangaza TZ yetu.

    ReplyDelete
  2. Safi kabisa ndugu wa mimi , tupo pamoja

    ReplyDelete
  3. Safi sana. Ndio mambo yanayotakiwa hayo: ubunifu na utendaji makini. Kila la heri. Ngoja niende nikaiweke hii taarifa kwenye blogu yangu.

    ReplyDelete
  4. Ahsanteni wapendwa,kaka Mbele itakuwa vyema.

    ReplyDelete
  5. Dada Rachel, hatimaye, leo, nimefanikiwa kuiweka taarifa kwenye blogu yangu.

    Jana nilihangaika kufanya hivyo, nikakwama, kwa sababu sikujua namna ya kuzitoa picha kwenye blogu za wengine na kuzigeuza kuwa .jpg. Leo, katika kubahatisha, nimegundua namna ya kufanya hivyo, na sasa picha inaonekana.

    ReplyDelete
  6. Nimefurahi sana kaka Mbele kwa kufanikisha.Nimependa sana ulivyoelezea,Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete