Saturday, 25 February 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Muzina yaTabu ley,Zaiko Langalanga na Bozi boziana!!!

Leo nimekurudisheni nyuma kidoogo,Vipi  kuhusu vibao hivi leo,kuna lolote unalokumbuka?Twende Sote na Burudani !!!!!Nawatakia week end Njema.

1 comment:

  1. uwiii umekumbusha mbali sana jamani ubarikiwe
    kwenye maisha kungekuwa kuna kuweka gia yakurudi nyuma kama kwenye gari yani leo lazima ningeitumia hiyo gia

    ReplyDelete